Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 19:4-5

Mit 19:4-5 SUV

Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake. Shahidi wa uongo hakosi ataadhibiwa; Wala asemaye uongo hataokoka.

Soma Mit 19