Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 19:4-5

Mithali 19:4-5 NENO

Mali huleta rafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha. Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, naye amwagaye uongo hataachwa huru.