Methali 19:4-5
Methali 19:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki. Shahidi mwongo hataacha kuadhibiwa; asemaye uongo hataepa adhabu.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utajiri huongeza marafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake. Shahidi wa uongo hakosi ataadhibiwa; Wala asemaye uongo hataokoka.
Shirikisha
Soma Methali 19