Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 14:15-16

Mit 14:15-16 SUV

Mjinga huamini kila neno; Bali mwenye busara huangalia sana aendavyo. Mwenye hekima huogopa, akajitenga na uovu; Bali mpumbavu ana ufidhuli, na kujitumai.

Soma Mit 14