Methali 14:15-16
Methali 14:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mjinga huamini kila kitu anachoambiwa, lakini mwenye busara huwa na tahadhari. Mwenye hekima ni mwangalifu na huepa uovu, lakini mpumbavu hajizuii wala hana uangalifu.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mjinga huamini kila neno; Bali mwenye busara huangalia sana aendavyo. Mwenye hekima huhadhari, na kujitenga na uovu; Bali mpumbavu hupuuza yote, na hajali.
Shirikisha
Soma Methali 14