Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 13:11-12

Mit 13:11-12 SUV

Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa. Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua. Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima.

Soma Mit 13