Methali 13:11-12
Methali 13:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mali ya harakaharaka hutoweka, lakini akusanyaye kidogokidogo ataiongeza. Tumaini la kungojangoja huumiza moyo, lakini tazamio linalotimia ni mti wa uhai.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa. Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua. Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima.
Shirikisha
Soma Methali 13