Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Flp 3:2-3

Flp 3:2-3 SUV

Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao. Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Mungu kwa Roho, na kuona fahari juu ya Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili.