Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 3:2-3

Wafilipi 3:2-3 NENO

Jihadharini na mbwa, wale watenda maovu, jihadharini na wale wajikatao miili yao. Kwa maana sisi ndio tulio tohara, sisi tumwabuduo Mungu katika Roho, tunaona fahari katika Kristo Yesu, ambao hatuweki tumaini letu katika mwili