Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 4:38-41

Mk 4:38-41 SUV

Naye mwenyewe alikuwapo katika shetri, amelala juu ya mto; wakamwamsha, wakamwambia, Mwalimu, si kitu kwako kuwa tunaangamia? Akaamka, akaukemea upepo, akaiambia bahari, Nyamaza, utulie. Upepo ukakoma, kukawa shwari kuu. Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga? Hamna imani bado? Wakaingiwa na hofu kuu, wakaambiana, Ni nani huyu, basi, hata upepo na bahari humtii?

Soma Mk 4

Video zinazohusiana

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 4:38-41