Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 2:27-28

Mk 2:27-28 SUV

Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato. Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.

Soma Mk 2

Video zinazohusiana

Picha ya aya ya Mk 2:27-28

Mk 2:27-28 - Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato. Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.