Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 26:43-44

Mt 26:43-44 SUV

Akaja tena, akawakuta wamelala; maana macho yao yamekuwa mazito. Akawaacha tena, akaenda, akaomba mara ya tatu, akisema maneno yale yale.

Soma Mt 26