Mathayo 26:43-44
Mathayo 26:43-44 Biblia Habari Njema (BHN)
Akawaendea tena, akawakuta wamelala, maana macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. Basi, akawaacha, akaenda tena kusali mara ya tatu kwa maneno yaleyale.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:43-44 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaja tena, akawakuta wamelala; maana macho yao yalijawa na usingizi. Akawaacha tena, akaenda, akaomba mara ya tatu, akisema maneno yale yale.
Shirikisha
Soma Mathayo 26