Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 24:4-5

Mt 24:4-5 SUV

Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.

Soma Mt 24