Mathayo 24:4-5
Mathayo 24:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawajibu, “Jihadharini msije mkadanganywa na mtu. Maana wengi watatokea wakisema kila mmoja kwamba yeye ndiye Kristo nao watawapotosha watu wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 24