Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 17:22-23

Mt 17:22-23 SUV

Nao walipokuwa wakikaa Galilaya, Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua, na siku ya tatu atafufuka. Wakasikitika sana.

Soma Mt 17