Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 14:18-19

Mt 14:18-19 SUV

Akasema, Nileteeni hapa. Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi, wanafunzi wakawapa makutano.

Soma Mt 14