Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 12:35-36

Mt 12:35-36 SUV

Mtu mwema katika akiba njema hutoa mema; na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya. Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu.

Soma Mt 12