Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 2:16-18

Lk 2:16-18 SUV

Wakaenda kwa haraka wakamkuta Mariamu na Yusufu, na yule mtoto mchanga amelala horini. Walipomwona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya huyo mtoto. Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji.

Soma Lk 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 2:16-18