Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 2:15-16

Lk 2:15-16 SUV

Ikawa, malaika hao walipoondoka kwenda zao mbinguni, wale wachungaji waliambiana, Haya, na twendeni mpaka Bethlehemu, tukalione hilo lililofanyika, alilotujulisha Bwana. Wakaenda kwa haraka wakamkuta Mariamu na Yusufu, na yule mtoto mchanga amelala horini.

Soma Lk 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 2:15-16