Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 16:11-12

Lk 16:11-12 SUV

Basi, kama ninyi hamkuwa waaminifu katika mali ya udhalimu, ni nani atakayewapa amana mali ya kweli? Na kama hamkuwa waaminifu katika mali ya mtu mwingine, ni nani atakayewapa iliyo yenu wenyewe?

Soma Lk 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 16:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha