Luka 16:11-12
Luka 16:11-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, kama ninyi hamkuwa waaminifu katika mali ya udhalimu, ni nani atakayewapa amana mali ya kweli? Na kama hamkuwa waaminifu katika mali ya mtu mwingine, ni nani atakayewapa iliyo yenu wenyewe?
Shirikisha
Soma Luka 16Luka 16:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama basi, nyinyi si waaminifu kuhusu mali mbaya za dunia, ni nani atakayewakabidhi zile mali za kweli? Na kama nyinyi si waaminifu kuhusu mali ya mtu mwingine, ni nani atakayewakabidhi mali yenu wenyewe?
Shirikisha
Soma Luka 16Luka 16:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, kama ninyi hamkuwa waaminifu katika mali ya duniani, ni nani atakayewapa amana mali ya kweli? Na kama hamkuwa waaminifu katika mali ya mtu mwingine, ni nani atakayewapa iliyo yenu wenyewe?
Shirikisha
Soma Luka 16