Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 15:1-2

Lk 15:1-2 SUV

Basi watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia wamsikilize. Mafarisayo na waandishi wakanung’unika, wakisema, Mtu huyu huwakaribisha wenye dhambi, tena hula nao.