Luka 15:1-2
Luka 15:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu. Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.”
Shirikisha
Soma Luka 15Luka 15:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia wamsikilize. Mafarisayo na waandishi wakanung'unika, wakisema, Mtu huyu huwakaribisha wenye dhambi, tena hula nao.
Shirikisha
Soma Luka 15