Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Law 19:1-2

Law 19:1-2 SUV

BWANA akanena na Musa, akamwambia, Nena na mkutano wote wa wana wa Israeli, uwaambie, Mtakuwa watakatifu; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wenu, ni mtakatifu.

Soma Law 19