Walawi 19:1-2
Walawi 19:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Iambie jumuiya yote ya watu wa Israeli hivi: Ni lazima muwe watakatifu kwani mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akanena na Musa, akamwambia, Nena na mkutano wote wa wana wa Israeli, uwaambie, Mtakuwa watakatifu; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 19