Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Omb 3:24-26

Omb 3:24-26 SUV

BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye. BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo. Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA Na kumngojea kwa utulivu.

Soma Omb 3

Picha ya aya ya Omb 3:24-26

Omb 3:24-26 - BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu,
Kwa hiyo nitamtumaini yeye.

BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao,
Kwa hiyo nafsi imtafutayo.
Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA
Na kumngojea kwa utulivu.