Maombolezo 3:24-26
Maombolezo 3:24-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu. Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea, ni mwema kwa wote wanaomtafuta. Ni vema mtu kungojea kwa saburi ukombozi utokao kwa Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:24-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye. BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo. Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA Na kumngojea kwa utulivu.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:24-26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye. BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo. Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA Na kumngojea kwa utulivu.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3