Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 55:2

Isa 55:2 SUV

Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.

Soma Isa 55

Picha ya aya ya Isa 55:2

Isa 55:2 - Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula?
Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha?
Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema,
Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.