Isaya 55:2
Isaya 55:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mbona mnatumia fedha yenu kwa ajili ya kitu kisicho chakula? Ya nini kutoa jasho lenu kwa kitu kisichoshibisha? Nisikilizeni mimi kwa makini, nanyi mtakula vilivyo bora, na kufurahia vinono.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa nini mtoe fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
Shirikisha
Soma Isaya 55