Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 32:16-17

Isa 32:16-17 SUV

Ndipo hukumu itakaa katika jangwa, na haki itakaa katika shamba lizaalo sana. Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima.

Soma Isa 32