Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ebr 5:13-14

Ebr 5:13-14 SUV

Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga. Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya.

Soma Ebr 5