Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 28:10-11

Mwa 28:10-11 SUV

Yakobo akatoka Beer-sheba, kwenda Harani. Akafika mahali fulani akakaa huko usiku kucha, maana jua lilikuwa limekuchwa; akatwaa jiwe moja la mahali pale akaliweka chini ya kichwa chake, akalala usingizi pale pale.

Soma Mwa 28