Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Gal 1:11-12

Gal 1:11-12 SUV

Kwa maana, ndugu zangu, injili hiyo niliyowahubiri, nawajulisha ya kuwa siyo ya namna ya kibinadamu. Kwa kuwa sikuipokea kwa mwanadamu wala sikufundishwa na mwanadamu, bali kwa ufunuo wa Yesu Kristo.

Soma Gal 1