Wagalatia 1:11-12
Wagalatia 1:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, napenda mfahamu kwamba ile Injili niliyoihubiri si ujumbe wa kibinadamu. Wala mimi sikuipokea kutoka kwa binadamu, wala sikufundishwa na mtu. Yesu Kristo mwenyewe ndiye aliyenifunulia.
Shirikisha
Soma Wagalatia 1Wagalatia 1:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana, ndugu zangu, Injili hiyo niliyowahubiria, nawajulisha ya kuwa siyo ya namna ya kibinadamu. Kwa kuwa sikuipokea kwa mwanadamu wala sikufundishwa na mwanadamu, bali kwa ufunuo wa Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Wagalatia 1