Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 2:6-7

Efe 2:6-7 SUV

Akatufufua pamoja naye, akatuketisha pamoja naye katika ulimwengu wa roho, katika Kristo Yesu; ili katika zamani zinazokuja audhihirishe wingi wa neema yake upitao kiasi kwa wema wake kwetu sisi katika Kristo Yesu.

Soma Efe 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Efe 2:6-7