Programu ya Biblia ni bure kabisa, haina matangazo na hakuna ununuzi wa ndani ya programu. Pata programu
Kumwakisi Yesu

3 Siku
Sample Day 1Maisha ya Yesu hapa duniani iliisha na upeo mkubwa: Ufufuo wake, kuonekana baada ya ufufuo, na kupaa mbinguni kimwili. Lakini umewahi kujiuliza nini kilitokea baadaye? Yesu anafanya nini siku hizi? Katika kitabu hiki cha Waefesim Tony Evans anatumia mpango huu mfupi wa usomaji, kutupa kuona kidogo tu jukumu la Yesu sasa na jinsi tunavyopaswa kumwakisi Yeye katika maisha yetu ya kila siku.
Tungependa kuwashukuru The Urban Alternative (Tony Evans) kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: Home - The Urban Alternative