Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 1:5-8

Efe 1:5-8 SUV

Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake. Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa. Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake. Naye alituzidishia hiyo katika hekima yote na ujuzi

Soma Efe 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Efe 1:5-8