Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mhu 11:7-8

Mhu 11:7-8 SUV

Kweli nuru ni tamu, tena ni jambo la kupendeza macho kutazama jua. Naam, mtu akiishi miaka mingi, na aifurahie yote; lakini na azikumbuke siku zijazo za giza, kwa maana zitakuwa nyingi. Mambo yote yajayo ni ubatili.

Soma Mhu 11