Mhubiri 11:7-8
Mhubiri 11:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanga wafaa, na kuliona jua kwapendeza macho. Mtu akiishi miaka mingi, na aifurahie miaka hiyo yote; lakini akumbuke kuwa siku za giza zitakuwa nyingi, na kwamba yote yatakayofuata ni bure.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11Mhubiri 11:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kweli nuru ni tamu, tena ni jambo la kupendeza macho kutazama jua. Naam, mtu akiishi miaka mingi, na aifurahie yote; lakini na azikumbuke siku zijazo za giza, kwa maana zitakuwa nyingi. Mambo yote yajayo ni ubatili.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11Mhubiri 11:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kweli nuru ni tamu, tena ni jambo la kupendeza macho kutazama jua. Naam, mtu akiishi miaka mingi, na aifurahie yote; lakini na azikumbuke siku zijazo za giza, kwa maana zitakuwa nyingi. Mambo yote yajayo ni ubatili.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11