Mhu 11:1-2
Mhu 11:1-2 SUV
Tupa chakula chako usoni pa maji; Maana utakiona baada ya siku nyingi. Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi.