Mhubiri 11:1-2
Mhubiri 11:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Jishughulishe na biashara hata kama kwa kubahatisha; yawezekana baadaye ukapata chochote kile. Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11Mhubiri 11:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Jishughulishe na biashara hata kama kwa kubahatisha; yawezekana baadaye ukapata chochote kile. Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11Mhubiri 11:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tupa chakula chako juu ya maji; Maana utakiona baada ya siku nyingi. Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11