Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kol 3:3-4

Kol 3:3-4 SUV

Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu. Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu.

Soma Kol 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kol 3:3-4