Wakolosai 3:3-4
Wakolosai 3:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana nyinyi mmekufa na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu. Uhai wenu halisi ni Kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu. Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3