Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 4:19-20

Mdo 4:19-20 SUV

Petro na Yohana wakawajibu wakawaambia, Kwamba ni haki mbele za Mungu kuwasikiliza ninyi kuliko Mungu, hukumuni ninyi wenyewe; maana sisi hatuwezi kuacha kuyanena mambo tuliyoyaona na kuyasikia.

Soma Mdo 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 4:19-20