Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 19:30-31

Mdo 19:30-31 SUV

Na Paulo alipotaka kuingia kati ya watu, wanafunzi hawakumwacha aingie. Na baadhi ya wakuu wa Asia, walio rafiki zake, wakatuma watu kwake, wakimsihi asijihudhurishe nafsi yake ndani ya mahali pa michezo.

Soma Mdo 19

Video ya Mdo 19:30-31