Matendo 19:30-31
Matendo 19:30-31 NENO
Paulo akataka kuingia katikati ya umati, lakini wanafunzi hawakumruhusu. Hata baadhi ya viongozi wa sehemu ile, waliokuwa rafiki zake Paulo, wakatuma watu wakitamani asiingie katika ule ukumbi wa maonesho.