Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Yoh 1:9-11

2 Yoh 1:9-11 SUV

Kila apitaye cheo, wala asidumu katika mafundisho ya Kristo, yeye hana Mungu. Yeye adumuye katika mafundisho hayo, huyo ana Baba na Mwana pia. Mtu akija kwenu, naye haleti mafundisho hayo, msimkaribishe nyumbani mwenu, wala msimpe salamu. Maana yeye ampaye salamu azishiriki kazi zake mbovu.

Soma 2 Yoh 1