Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 2:3-5

1 Tim 2:3-5 SUV

Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli. Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu

Soma 1 Tim 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 2:3-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha