Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 5:9-11

1 Pet 5:9-11 SUV

Nanyi mpingeni huyo, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kuwa mateso yale yale yanatimizwa kwa ndugu zenu walioko duniani. Na Mungu wa neema yote, aliyewaita kuingia katika utukufu wake wa milele katika Kristo, mkiisha kuteswa kwa muda kidogo, yeye mwenyewe atawatengeneza, na kuwathibitisha, na kuwatia nguvu. Uweza una yeye hata milele na milele. Amina.

Soma 1 Pet 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 5:9-11